Friday, August 10, 2012
Love Tanzania Festival with Andrew Palau
tayari Love Tanzania Festival imeanza HUDUMA kwa kupima na kutoa miwani bure kwa watu wote wenye matatizo ya macho katika vituo hivi: Baptist Magomeni,KKkT vingunguti, Mbagala TAG, Anglicana- Amana-ILALA kuanzia sa3-10 kila siku mpaka ijumaa. HITIMISHO LAKE LITAKUWA NI MTIKISIKO WA DAR ES SALAAM KWA MKUTANO MKUBWA VIWANJA VYA JANGWANI JUMAMOSI NA JUMA PILI IJAYO. DON MOEN, DAVE LUBBEN NA NICOLE C. MULLEN KUTOKA MAREKANI WATAHUDUMU NA WAIMBAJI WA NDANI KAMA JOHN LISU, SHUSHO, PASTOR SAFARI, THE VOICE, NA WENGINE WENGI. WHAT A MEGA EVENT!!!! DON'T EVER PLAN TO MISS IT OUT. BE BLESSED. MATHEW28:19,20.
No comments:
Post a Comment