Hatimaye mzidi kuwa kuwa hodari katika BWANA, na katika uweza wa nguvu zake!!! andiko hili ni fupi lakini limebeba maana kubwa sana....
Hatimaye mzidi kuwa hodari.. biblia ya kingeleza inasema b strong..... kumbe kuna uwezekano wa mtu kuwa strong christian au kuyokuwa yote ni maamuzi ya mtu mwenyewe..
maana yake nn jambo hili: naweza kutumia mfano kuelezea: kulikuwa na mtu kijana alimfuta mtu mwenye hekima mmoja kupima hekima yake; akiwa ameshikiria kipepeo mkoni akamuuliza wewe si unahekima nitajie kipepeo huyu yu hai au amekufa: akijua kuwa akitaja yuko hai anambonyeza afe... lakini kwa hekima ya huyu mtu akamjibu uhai wa kipepeo unakutegemea(unategemea mikono yake)!
unaweza ukawa umewahi kisikia uo mfano maana baba Gwajima aliwahi kuutaja siku moja... lengo lake leo ni kuonyesha maamuzi ya kuwa na nguvu rohoni yapo kwenye uweza wako.
Mungu ametupa uchaguzi maana yy sio dictator , awezi kumlazimisha mwanaume abebe ujauzito maana haiwezekana kwahiyo ukiona amesema ujue inawezekana kuwa imara rohoni........ full version ya hii is coming stay tuned....
No comments:
Post a Comment